FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

Ila wakumbuke kushtuana tu wakati wa kurudi, maana hawakawi kupoteana wale kila MTU na njia yake..
Hahahahahaaaaa
 
Simba ya leo!
20210515211437.jpg
 
Ndugu zangu GT uko kusini mwa Afrika muda huu kuna nini kinaendelea maana naona kimya sana kulikoni tena wekundu wa msimbazi ?

Tatizo hawajui kufanya analysis ya ubora au udhaifu wa opponent kama wanavyofanya wenzetu huko majuu! Wao huwa ni mihemko ya mijisifa tu, ndiyo maana leo wamekutana na cha moto! Bora hata wangekutana tena na Al Ahly ya Misri kipigo kisingekuwa kikali hivyo! Simba have really seen terrible things in South Africa!
 
Tatizo timu zetu hazina wachezaji bora, mchezaji akishuka kiwango huko duniani ndio anakuja bongo tunanua magazeti 4 yanampamba balaa.
Umeandika kiushabiki zaidi,Simba inawachezaji bora,kufungwa leo goli nne haijalisha kuwa Simba sio bora.
Kwenye mpira kuzidiwa na kufungwa ni kawaida kwenye soka.
Simba nguvu moja.
 
Tatizo hawajui kufanya analysis ya ubora au udhaifu wa opponent kama wanavyofanya wenzetu huko majuu! Wao huwa ni mihemko ya mijisifa tu, ndiyo maana leo wamekutana na cha moto! Bora hata wangekutana tena na Al Ahly ya Misri kipigo kisingekuwa kikali hivyo! Simba have really seen terrible things in South Africa!
Shida ya Simba ni [emoji116]
tapatalk_1577519086303.jpg
 
Back
Top Bottom