Watasoma wakishatulia....🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa wewe na hii makala yako unategemea Nani asome[emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watasoma wakishatulia....🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa wewe na hii makala yako unategemea Nani asome[emoji41]
Hapa umeongea ukweli mtupu. Leo gomez kazidiwa mbinu na bwana huntTukubali game plan yetu imegonga mwamba. Kocha wetu amezidiwa ujanja kwa Leo. Simba hii INA rekodi ya kufunga 5 bila hapa nyumbani. Sijakata tamaa!!!
Tatizo timu zetu hazina wachezaji bora, mchezaji akishuka kiwango huko duniani ndio anakuja bongo tunanua magazeti 4 yanampamba balaa.Simba mna viporo vingi kisingizio mechi za nje. Tatizo timu za bongo hazielewi mechi nyingi ndio mazoezi yenyewe badala yake mnazikimbia na kutaka kuwa na viporo vya kutosha
Viporo vingi vingapi, ni viwili tu. Ukitoa game ya yanga ambayo hiyo huwezi kutulaumu. Ktk msimu ratiba ilikaa kdogo vzuri basi ni huu.
ahahaha,Hii tabia ya kutokucheza game,kisa mnasubiria mechi za kimataifa haya ndiyo matunda yake.
Lazima ukose utimamu wa mchezo. Tungepiga game kadhaa hapa ingesaidia sana.
Fainali ipi tena?Nacheka kama mazuri 😂😂😂.
Natamani kulia mwenzenu nilishaamini mwaka huu tunafika fainali 😭😭😭😭
Msijidangnye, hawa jamaa hawatakubali kunyang'anywa tonge mdomoni kirahisiBeki Leo zimetuangusha. Lakini Kaizer Chief Wanafungika hata Goli Tano. Kama Ilivyokuwa kwa As Vita Nina Hakika Dar Tutashinda Zaidi ya Goli 4 Tulifanya Hivyo kwa As Vita, Fc Platnumz Hakika Tutaishangaza Afrika
Kwaivo simba wamefanyiwa ukatiliHawa watu ambao hawana nchi ya asili MAKABURU na WAIZRAEL wote wanasifa moja wana miguvu, akili nyingi na ni wakatili sana
Msijidangnye, hawa jamaa hawatakubali kunyang'anywa tonge mdomoni kirahisi
Watasema walikuwa na furaha ya Eid Mubarakwalienda kupata futari kwa Dada yake Manara
Wacha tusubiri.Alishafungwa na W.Casablanca 4 bila lakini Kwake alishinda akiwa Pungufu hata sisi Tutaweza
Hakuna kukata tamaa mpaka dakika 90 za mechi ya pili[emoji870]Tukubali game plan yetu imegonga mwamba. Kocha wetu amezidiwa ujanja kwa Leo. Simba hii INA rekodi ya kufunga 5 bila hapa nyumbani. Sijakata tamaa!!!