Rostema
JF-Expert Member
- Nov 27, 2018
- 2,926
- 9,470
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli kabisaWazee wa 4G! Na kwenye ile mechi na Yanga huenda wangekula 3G! Waishukuru Wizara na Mlezi wao Wallace Karia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli kabisaWazee wa 4G! Na kwenye ile mechi na Yanga huenda wangekula 3G! Waishukuru Wizara na Mlezi wao Wallace Karia.
7up na kipande cha limau siku itakuwa safi tenaWasha haribu siku
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23] ataiweka wapi sura yake huyu mtu
Manara hasira zake atazimalizia kwa wachambuzi na Yanga.
Kabatini!Sijui tutaweka wapi sura zetu
Pole sana mpira ndivyo ulivyo.....Wachezaji wametuangusha,hii sio timu ya kutufunga 4
Ndugu zangu GT uko kusini mwa Afrika muda huu kuna nini kinaendelea maana naona kimya sana kulikoni tena wekundu wa msimbazi ?
Umeandika kiushabiki zaidi,Simba inawachezaji bora,kufungwa leo goli nne haijalisha kuwa Simba sio bora.Tatizo timu zetu hazina wachezaji bora, mchezaji akishuka kiwango huko duniani ndio anakuja bongo tunanua magazeti 4 yanampamba balaa.
Ana itwa nani vile uyu jamaa.[emoji28]View attachment 1786284
Hahahaaa!!Simba ya leo!
View attachment 1786303
Hiyo ni kama kumwambia demu karibu geto....Tuliambiwa kaiza ni kibonde
4G plus
Shida ya Simba ni [emoji116]Tatizo hawajui kufanya analysis ya ubora au udhaifu wa opponent kama wanavyofanya wenzetu huko majuu! Wao huwa ni mihemko ya mijisifa tu, ndiyo maana leo wamekutana na cha moto! Bora hata wangekutana tena na Al Ahly ya Misri kipigo kisingekuwa kikali hivyo! Simba have really seen terrible things in South Africa!
KaolewaSimba kapakatwa 🤣🤣🤣
Kanifanya nisiwaonee huruma hao.Kwani Manara alicheza namba ngapi?