FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

Mautopolo kwa sasa yanauogopa huu uzi ila roho zao kwatu!!!! Baada ya 90 minutes kama tutafungwa watavyoshuka kuushambulia uzi huu kama mpira wa kona!!!! Shadeeya 😜😜😜
🀣🀣🀣

Japo leo ni jumatatu ila najua sijachelewa bado. 🀣🀣🀣🀣
 
Nimepewa hela na Dingi nikalipe bili ya maji nikatandaza mkeka kwa Simba,sasa yule mzee namwambia lugha gani anielewe?,ni Brigedia mstaafu wa jeshi na leo asubuhi alikua akiifuta futa vumbi bastola yake,,,!!
Kumbe wewe n barrobaro ...ndio Maana kwenye kwenye Siasa uanshabikiaga utopolo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…