Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Wacha tukaangalie fainali ya FA Chelsea v Leicester
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
All da bestAll the best my Team Simba...
Utazipata wapi?Safari imeshakuwa ngumu sana. Bila kupata angalau goli mbili za haraka haraka itakuwa ni miujiza kuwafunga 5-0 ingawaje ilishawahi kutokea.
🐒🐒🐒Mkuu hii game bado, naamini Simba Sc hawatarudi kama kipindi cha kwanza.
Nyie badala ya kuangalia ubora wa ligi yao,mnaangalia position yao ktk msimamoWanangu wa Yanga tambeni leo siku yenu..Simba tushakubali ..hawa jamaa tuliwadharau..
Utazipata wapi?
kuwa seriousHao wakija kwa mkapa tunawachapa 4
Bikra inatolewa huku na cha mkongoNa smell ka harufuuu nani uyo kaachia marinda