FT: Kaizer Chiefs FC 0- 4 Young African SC | Toyota Cup | Free State Stadium, Bloemfontein | 28.07.2024

Usikariri. Kama huna uhakika muulize msemaji wa timu ambaye pia ni afisa habari, Haji Manara
Nimuulize Manara wa nini, wakati CAF ndio waliyo itoa hiyo faini ya USD 10k baada ya hiyo timu ya kipuuzi kuchoma pitch ya watu.Halafu Manara alikuwepo ktk wale walio tengeneza duara .......?

Halafu na jiuliza kuni na kiberiti alibeba nani, maana ile mimoshi........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…