joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Nimuulize Manara wa nini, wakati CAF ndio waliyo itoa hiyo faini ya USD 10k baada ya hiyo timu ya kipuuzi kuchoma pitch ya watu.Halafu Manara alikuwepo ktk wale walio tengeneza duara .......?Usikariri. Kama huna uhakika muulize msemaji wa timu ambaye pia ni afisa habari, Haji Manara
Halafu na jiuliza kuni na kiberiti alibeba nani, maana ile mimoshi........