Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni kwaajir yakuwaumiza makoloCLOUTUS CHAMA hakuwa choice ya GAMONDI..
Hata kesho njooni nyie mamburula! [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] Njooni tuwazike na sanda zetu kabisa damn fools.Tarehe 8 siyo mbali
Ukilewa usichati.Yanga ya Sasa sio ya kucheza na timu za africa.ikacheze na kina man city uko ndio size yao
Kwa ephen hata ufanyeje humuwezi huyo maana alipo nipo.
KinyumenyumeAmakhosi 5:0 Uto
FT’
Aibuu
Walivyo wagumu kuelewa wataleta tu usishangae kuona kipindi cha pili hawaludishi timuSANDA wataleta timu uwanjani kweli
Tarehe 8 kuna nini nyie mamburula..ni siku kama sku nyingine na kama nyie mazuzu ndio tunacheza nao basi ni itakua mechi ya kawaida kama tunavyocheza na kitayose fc.Mpaka ahonge hela hiyo mechi inafaida gani? subira tarehe 8 ndo uulize vizur amehonga shingap
Mtavaa batiki rangi ipi?Tarehe 8 kuna nini nyie mamburula..ni siku kama sku nyingine na kama nyie mazuzu ndio tunacheza nao basi ni itakua mechi ya kawaida kama tunavyocheza na kitayose fc.
Kwa Yanga hii, tarehe 8 Kono la nyani lingine halikwepeki kwa Simba.Tarehe 8 kuna nini nyie mamburula..ni siku kama sku nyingine na kama nyie mazuzu ndio tunacheza nao basi ni itakua mechi ya kawaida kama tunavyocheza na kitayose fc.
Yanga ni yanga simba ni simba kila timu na mambo yake kaa kijanja master.kwa timu hili sisi sanda fc tuwe serious. tunafanya sajili za kihuni. tutafungwa tulalamike wachezaji wameuza mechi.
Jezi za sanda ndio tutawazika nazo hio tarehe 8 mnayoiongelea kila saaa..mavimatupu nyie.uto wamenunua mechi alisikika muuzaji jezi sanda fc