2004boy
Member
- Jul 23, 2024
- 53
- 89
Uzuri tarehe 8 haiko mbal mda utaongeaTarehe 8 kuna nini nyie mamburula..ni siku kama sku nyingine na kama nyie mazuzu ndio tunacheza nao basi ni itakua mechi ya kawaida kama tunavyocheza na kitayose fc.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri tarehe 8 haiko mbal mda utaongeaTarehe 8 kuna nini nyie mamburula..ni siku kama sku nyingine na kama nyie mazuzu ndio tunacheza nao basi ni itakua mechi ya kawaida kama tunavyocheza na kitayose fc.
Hilo kono la nyani mnaloliwaza mtajitawazia nalo..kwanza nyie mshakufa tayar na tushawazika, hio tarehe 8 tunaanua matanga tu mamaeh.Kwa Yanga hii, tarehe 8 Kono la nyani lingine halikwepeki kwa Simba.
Bado anawaza Simba ya Saido.Yanga ni yanga simba ni simba kila timu na mambo yake kaa kijanja master.
Hata leo usiku leteni timu tuwazike futi milioni moja chini ya ardhi...[emoji706]Uzuri tarehe 8 haiko mbal mda utaongea
😁😁Bado anawaza Simba ya Saido.
Ayo ni matatizo yake mwenyeweKwa wale watoto aliochezesha amewadharau sana mashabiki waliojaza uwanja.
Ndo maana kaadhibiwa.Ayo ni matatizo yake mwenyewe
Afadhari hata wao wanajikaza wamefungwa 4 wale wengine walipigwa 5Kaizer Chiefs ni timu ya kawaida Sanaa......Ni timu iliyoshuka viwango kitambo sanaaa.....
Yeah kaleta utani kazini kwa watuNdo maana kaadhibiwa.
Leo na sisi ngoja tutumbeze likes kwako....mbele daima..Kwa jicho la kilevi unaweza kusema yanga bigwa🤔
Mbele daima kitu gani punguza mbege bro.Leo na sisi ngoja tutumbeze likes kwako....mbele daima..
Kumbe huwa una comment...😅😅😅...aiseeMbele daima kitu gani punguza mbege bro.
Ndivyo itakavyokua msimu mzima jiandae kisaikolojiaBaadae wadau.
Endeleeni kufurahia Bonanza!
Am out
Au sioKaizer Chiefs ni timu ya kawaida Sanaa......Ni timu iliyoshuka viwango kitambo sanaaa.....
Sio hiyo kaiza ya wapika mbege jidanganye😜Au sio