princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Umesahau kina beleke walitimuliwa Tangu awachekelee kina jesus moloko kwenye derby badala ya Simba kufungwa 5🤣 si ndo kina chama wakaonekana wabayaNilisubiri sana nimuone Nabi akisalimiana na Gamondi, sijui kwanini Nabi alikuwa anamkwepa mwenzie.