FT: Kaizer Chiefs FC 0- 4 Young African SC | Toyota Cup | Free State Stadium, Bloemfontein | 28.07.2024

FT: Kaizer Chiefs FC 0- 4 Young African SC | Toyota Cup | Free State Stadium, Bloemfontein | 28.07.2024

Timu ya waarabu utakuja kufananisha na hao wacheza amapiano ?
Ligi Daraja la pili? Ufanaishe na timu ya ligi kuu ya SA.......? timu hata kwenye rekodi za CAF haipo.

Wewe mwenyewe nikuambia mechi ijayo unacheza na nani,mpaka ugoogle sana tena timu yenyewe inapostiwa na website za mitaani,huwezi kuiona BBC,Goal.Com yaani haifahamiki.Yaani kama kikundi cha mashabiki wanaotaka kukata mafuta na kutafuta appetite ya kula,ndio mnaocheza nao.
 
Back
Top Bottom