FT: Kaizer Chiefs FC 0- 4 Young African SC | Toyota Cup | Free State Stadium, Bloemfontein | 28.07.2024

FT: Kaizer Chiefs FC 0- 4 Young African SC | Toyota Cup | Free State Stadium, Bloemfontein | 28.07.2024

Attachments

  • FB_IMG_17221797045107522.jpg
    FB_IMG_17221797045107522.jpg
    117.5 KB · Views: 1
Ni sawa na kumpiga mwakinyo ngumi moja mazoezini...

Halafu mtaani unatamba, eti mwakinyo haniwezi..
 
Msimu huu kama Dube hatopata majeruha, hutokaanga chips,maana zile tano walizokula tuliwakosa clear chance kama saba.Sasa tuna Dube....... yaaaaaani......

Yaani Dube akiwa available kwa asilimia hata 80,basi hakosi goli 25 maana tuna wapishi wengi mnoooo.....
 
Msimu huu kama Dube hatopata majeruhi, hutokaanga chips,maana zile tano walizokula tuliwakosa clear chance kama saba.Sasa tuna Dube....... yaaaaaani......

Yaani Dube akiwa available kwa asilimia hata 80,basi hakosi goli 25 maana tuna wapishi wengi mnoooo.....
Majeraha,majeruhi ni mtu mwenye majeraha
 
Back
Top Bottom