princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Umesahau kina beleke walitimuliwa Tangu awachekelee kina jesus moloko kwenye derby badala ya Simba kufungwa 5🤣 si ndo kina chama wakaonekana wabayaNilisubiri sana nimuone Nabi akisalimiana na Gamondi, sijui kwanini Nabi alikuwa anamkwepa mwenzie.
mpira sio kazi ya udalali bwana mdogo. umeongea kama mganga wa kienyeji. anayekatika mauno anaonekana na anayefanya kweli anaonekana. sisi simba tunafanya mzaha.Yanga ni yanga simba ni simba kila timu na mambo yake kaa kijanja master.
Kolo wote wanaupungufu wa akiliAnaeipinga Yanga akapimwe akili.
Ulimaanisha kukaza nini mkuu? Fuvu au t*ko 😀Chiefs wakiendelea kukaza hivi watapata goli.
HahahaUlimaanisha kukaza nini mkuu? Fuvu au t*ko 😀
Naenda kununua jezi ya Yanga kwa mara ya kwanza.Ila kwenye Jezi uzalendo umenishinda, inabidi Yanga wafanye vizuri sana hadi nianze kuziona jezi ni nzuri
Tabia yako mbaya!Kama huna mada za kuniitia ukome kuniita.
Bladfaken.
Muwe mnaquotiana na huyo dogo asiye na adabu..
Eeeh,nimesema SITAKI tags zako kwenye mada za kitopolo.Tabia yako mbaya!
Sawa tu🥲
Hii habari sijaifurahia!
Boss kama nilivyokwambia notification naona lakini mambo hayafunguki ikikaa sawa nitakucheck
Yaani🥰Boss kama nilivyokwambia notification naona lakini mambo hayafunguki ikikaa sawa nitakucheck