FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

Blessed Tajiri

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
284
Reaction score
870
Watani wa Jadi wanakutana leo katika Uwanja wa Uhuru kutoana jasho la meno. Japokuwa Simba wana kamdomo sana, ila safari hii naona watawabonda Yanga, maana wamechezea kichapo mara nyingi sana, safari hii watajitutumia wamchape Yanga.

Kama unabisha tubeti dau la ban ya Mods😎😎

Dakika 45 zakipindi cha kwanza zimekamilika Yanga wakiwa mbele kwa goli moja

Simba wanasawazisha goli hapa

Mnyama Simba anapata alama 3 kibabe mbele ya Yanga
Screenshot 2026-10-09 232708.png
 
Watani wa Jadi wanakutana leo katika Uwanja wa Uhuru kutoana jasho la meno. Japokuwa Simba wana kamdomo sana, ila safari hii naona watawabonda Yanga, maana wamechezea kichapo mara nyingi sana, safari hii watajitutumia wamchape Yanga.

Kama unabisha tubeti dau la ban ya Mods😎😎

Mods Simba ikifungwa nipigwe ban miezi sita...
Payge
 
Watani wa Jadi wanakutana leo katika Uwanja wa Uhuru kutoana jasho la meno. Japokuwa Simba wana kamdomo sana, ila safari hii naona watawabonda Yanga, maana wamechezea kichapo mara nyingi sana, safari hii watajitutumia wamchape Yanga.

Kama unabisha tubeti dau la ban ya Mods😎😎

Simba 1+red card:Yanga 3+red card
 
Back
Top Bottom