ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 21,002
- 77,708
Naona mvua inanyesha, uchawi wenu ni mvua.
Naona mvua inanyesha, uchawi wenu ni mvua.
Kwanini usiseme Refa Ni Arajiga na atafanya makosa ya kibinadamu kwa upande wa simba.Mimi shabiki wa simba lakini naona kesho ushindi wetu sare, Nipo hapa mentaliti ya simba ni ya kipimbi sana kwenye dabi.
Wengi husemaga hivi issue ya mvua 😊😌Naona mvua inanyesha, uchawi wenu ni mvua.
Leo hamchomoki!Wengi husemaga hivi issue ya mvua 😊😌
Hakuna derby anaefugwa anajulikanaSiku hizi hata thread za mechi za bongo hapa jukwaani zimepoteza mvuto
Zamani mechi kubwa kama hii, saa 6:00 usiku ni mwendo wa kila mtu kuwahi kuanzisha uzi 😂😂
Kumbe hadi wewe ni chawa wa Mangungu?Bookmarked 😎
Simba kashazaa hakuna mvua ni mawingu na jua na tunyunyu tu, leo kuna mtu anaenda kukandwa goli 3 km sio 4 na kuendelea nipo paleNaona mvua inanyesha, uchawi wenu ni mvua.
Umeanza eeeeeeeeLeo hamchomoki!