Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
HATA JAMAA WENYEWE WANAJUA LEO WANAKALIA VIDUDE
YANGA 3
SIMBA 0
Safi sana umemjibu kitaalamu shabiki andaziKwasababu mimi ni shabiki wa mpira, siyo shabiki wa timu kama wewe
Uongo.Kwasababu mimi ni shabiki wa mpira, siyo shabiki wa timu kama wewe
Sisi mashabiki wa CDA na Kurugenzi - DOM tunaruhusiwa kushabikia hizi Simba na Yanga!!??Watani wa Jadi wanakutana leo katika Uwanja wa Uhuru kutoana jasho la meno. Japokuwa Simba wana kamdomo sana, ila safari hii naona watawabonda Yanga, maana wamechezea kichapo mara nyingi sana, safari hii watajitutumia wamchape Yanga.
Kama unabisha tubeti dau la ban ya Mods😎😎
Siku Simba aliyopigwa 5 mvua ilinyesha pia.Naona mvua inanyesha, uchawi wenu ni mvua.
Kivyovyote tunawakandaSiku Simba aliyopigwa 5 mvua ilinyesha pia.
😁 😁Waweke pesa sivyo? Au mtoa mada aweke mke?
Hakika simba yetu nguvu mojaNaitakia Simba ushindi unaopendeza.
Akili zipo makalioniHakuna derby anaefugwa anajulikana
Leo yanga anashindaNaona mvua inanyesha, uchawi wenu ni mvua.