king maliganya
Member
- Jun 12, 2026
- 10
- 11
Kumekucha
Tayarii Yanga ashaweka kitu, Shalulile.Goli au?
Offside?? Hiyo imetokaaa!! Baasi.Mbona ni CLEAR OFFSIDE
🤝Tayarii Yanga ashaweka kitu, Shalulile.
Shalulile.Kafunga nani huko jamani
Shasha manMaana tupo mbali na tv
Simba leo mtapigwa pakti moja ya dume 😹
Pale tulifanya makosa tukazidiwa wala hatujaonewa. Neo Maema alituliza kwa nguvu mpira ukaenda mbali.Simba wasitegemee kuacha space, itokee adhabu au offside, itakula kwao.
Watu wametumwa na wako kazini hapo.
Chezeni hata playstation mjifunze vitu,hamna offside hapo!!!Mbona ni CLEAR OFFSIDE
Njoo nikufunze Sheria za mpira totozuri🙃🙃Simba wasitegemee kuacha space, itokee adhabu au offside, itakula kwao.
Watu wametumwa na wako kazini hapo.
Nimetoa angalizo tu.Pale tulifanya makosa tukazidiwa wala hatujaonewa. Neo Maema alituliza kwa nguvu mpira ukaenda mbali.
Kajifunze wewe kwanza.Njoo nikufunze Sheria za mpira totozuri🙃🙃