Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Yes yes yesHakika simba yetu nguvu moja
Yes yes yesHakika simba yetu nguvu moja
Kama kawaida yetuLeo yanga anashinda
Nampiga 4 huyuKama kawaida yetu
Katika historia za Yanga vs Simba, game zao zinazochezwa siku ya jumamosi huwa zinakuwa ngumu sana kwa Simba...Mimi shabiki wa simba lakini naona kesho ushindi wetu sare, Nipo hapa mentaliti ya simba ni ya kipimbi sana kwenye dabi.
😹😹😹Tumefungwa goli zuri sana