Kwa simba ilivyo mbovu bado kuna mjinga kesho atabaa sare ya simba aaibike mjiniWatani wa Jadi wanakutana leo katika Uwanja wa Uhuru kutoana jasho la meno. Japokuwa Simba wana kamdomo sana, ila safari hii naona watawabonda Yanga, maana wamechezea kichapo mara nyingi sana, safari hii watajitutumia wamchape Yanga.
Kama unabisha tubeti dau la ban ya Mods😎😎
Mitazamo haipingwi msigombaneSababu yamewekwa public na sio chumbani , hata Mwalimu Mwerevu humkosoa Mwanafunzi mjinga akienda wrong .
Anyway , nothing serious huu uzi kwa ajili ya refreshment , jokes and fun
Tutoleeni huu upuuzi wa simba na yanga. Wakongo walikuwa hivi hivi ila wao kwenye miziki nchi imeharibiwa wao Ndombolo ndombolo,Rawreth Kabila kaja kuwashtuwa ilikuwa too late na wakapita naye .. Wa Cameron hivo walipumbazwa na mpira. Hongera kwa wakenya huu upuuzi haupo.Watani wa Jadi wanakutana leo katika Uwanja wa Uhuru kutoana jasho la meno. Japokuwa Simba wana kamdomo sana, ila safari hii naona watawabonda Yanga, maana wamechezea kichapo mara nyingi sana, safari hii watajitutumia wamchape Yanga.
Kama unabisha tubeti dau la ban ya Mods😎😎
Acha izo mkuu.Mods Simba ikifungwa nipigwe ban miezi sita...
Payge
Mna account mbili mbili, watafute machizi mpira halafu weka ahadi huko mtaani kwenu sio humu,halafu uone kama kuna siku utaweka ahadi tena.JF ukiwa na email unatengeneza account mpya.Kuna yule muuza Makava ya simu shabiki wa Msimbazi aliwekaga ahadi ya Yanga kupigwa ,kumbe kuna watu wachizi wa mpira wakawa wanajichagulia tu makava baada ya kupigwa na uzuri aliongea kwenye online media.Mods Simba ikifungwa nipigwe ban miezi sita...
Payge
Ushindi lazima kwa Simba 🦁 🦁 LeoWatani wa Jadi wanakutana leo katika Uwanja wa Uhuru kutoana jasho la meno. Japokuwa Simba wana kamdomo sana, ila safari hii naona watawabonda Yanga, maana wamechezea kichapo mara nyingi sana, safari hii watajitutumia wamchape Yanga.
Kama unabisha tubeti dau la ban ya Mods😎😎