Blessed Tajiri
JF-Expert Member
- Dec 16, 2023
- 284
- 870
Mods Simba ikifungwa nipigwe ban miezi sita...Watani wa Jadi wanakutana leo katika Uwanja wa Uhuru kutoana jasho la meno. Japokuwa Simba wana kamdomo sana, ila safari hii naona watawabonda Yanga, maana wamechezea kichapo mara nyingi sana, safari hii watajitutumia wamchape Yanga.
Kama unabisha tubeti dau la ban ya Modsšš
Siku 180.Mods Simba ikifungwa nipigwe ban miezi sita...
Kabisa...Siku 180.
Labda una sababu nyingine. Lolote linaweza kutokea.Kabisa...
Simba 1+red card:Yanga 3+red cardWatani wa Jadi wanakutana leo katika Uwanja wa Uhuru kutoana jasho la meno. Japokuwa Simba wana kamdomo sana, ila safari hii naona watawabonda Yanga, maana wamechezea kichapo mara nyingi sana, safari hii watajitutumia wamchape Yanga.
Kama unabisha tubeti dau la ban ya Modsšš
Wana simba tunajiamini...Labda una sababu nyingine. Lolote linaweza kutokea.
Waweke pesa sivyo? Au mtoa mada aweke mke?Mambo ya kuomba ban ni habari za kishamba
Sasa Mkuu unapata wapi nguvu ya kukoment kwenye mambo ya kishamba? Ya kiwerevu yameisha huko upande wa pili?Mambo ya kuomba ban ni habari za kishamba
Sababu yamewekwa public na sio chumbani , hata Mwalimu Mwerevu humkosoa Mwanafunzi mjinga akienda wrong .Sasa Mkuu unapata wapi nguvu ya kukoment kwenye mambo ya kishamba? Ya kiwerevu yameisha huko upande wa pili?