FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

Nilichoandika ndio hicho, km ni uongo pinga kwa hoja.
Unafungwa upo busy sijui raisi, waziri mkuu, sijui Mo!! Unafungwa technically huna uwezo, miaka haihesabiki timu linafungwa mnakuja na lame excuses, miafrika tuna shida sana!!
 
Unafungwa upo busy sijui raisi, waziri mkuu, sijui Mo!! Unafungwa technically huna uwezo, miaka haihesabiki timu linafungwa mnakuja na lame excuses, miafrika tuna shida sana!!
Ukimaliza kudeveleka na utamu wa bao ulilopata, nitakujibu baadae.
 
Ni wakati sasa Yanga waruhusu kufungwa game hii, huu sasa sio utani wa jadi, umekuwa ujinga!
Huu sio mchezo wa huruma ni soka. Furahia soka acha mbwembwe.
 
Soka ya simba vs yanga miaka buku ikiwa hivi hata huo utani unakuwa ujinga, let them win this time..
Mechi mbona imetaradadi? Ni vile tu Simba haijapata matokeo but mechi ina hadhi ya dabi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…