joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Leo Toure nae kaamka vizuri sana.
Arajiga kafanyaje jamaa yangu?Kwa nini MANAGEMENT inakaaga kimya kila mara referee ARAGIGE akipangwa Deby.....
Ni ulofa ,ujinga, unyonge....
Ni wakati ni SIMBA watafute other MSEMAJI
UNYONGE.Kwa nini MANAGEMENT inakaaga kimya kila mara referee ARAGIGE akipangwa Deby.....
Ni ulofa ,ujinga, unyonge....
Ni wakati ni SIMBA watafute other MSEMAJI
Wanayanga tumeridhika kabisa......Kweli tupu. Utamu halisi huwa ni goli la kwanza tu. Haya mengine huwa ni kulinda CV isiharibike 😂
Kangwanda anazingua, ila zile Movement angekuwa Mzize tungeongea mengine, anacheza kifather sana, awatizame wenzake wakina Muda na Max.Wanakaribisha sana mashambulizi bila sababu. Pia pale mbele tunakosa precision, Kangwanda. Kangwanda na Shalulile hawajawa tishio la kutosha kwa defence ya Simba.
Kafanya kosa gani hadi sasa bosi?UNYONGE.
Rais, makamu, Waziri mkuu, mawaziri wengi ni Yanga.
Achilia Mstaafu, yanga kindaki ndaki. Kuna nini tena?
Arajiga hawekwi kwenye Dabi kwa bahati mbayaa, ni mission maalumu.
Tukutane 2030, alisema TAKADINI.
Simba inazidiwa na Yanga, walikuja marefa kutoka wamisri na bado Simba akapasukaKwa nini MANAGEMENT inakaaga kimya kila mara referee ARAGIGE akipangwa Deby.....
Ni ulofa ,ujinga, unyonge....
Ni wakati ni SIMBA watafute other MSEMAJI
Utamu tushaupata. Tutake nini tena? 🕺🏾Wanayanga tumeridhika kabisa......
Nilichoandika ndio hicho, km ni uongo pinga kwa hoja.Kafanya kosa gani hadi sasa bosi?
Umempa kadi ya njano mchezaji, dakika mbili mbele anacheza rafu nyingine nyepesi.Sasa nawaelewa simba Arajiga ni mpumbavu sana.....
Simba haina striker ni kosa wanalorudia agai and again. Na haya ndio matokeo yakeHatuna Striker analazimishwa.
Naamini harudi kipindi cha pili, tena nusura ale umeme.Kangwanda anazingua, ila zile Movement angekuwa Mzize tungeongea mengine, anacheza kifather sana, awatizame wenzake wakina Muda na Max.
Hii moja inakutosha mama!Wanayanga tumeridhika kabisa......