FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

Wanakaribisha sana mashambulizi bila sababu. Pia pale mbele tunakosa precision, Kangwanda. Kangwanda na Shalulile hawajawa tishio la kutosha kwa defence ya Simba.
Ni moja ya mabadiliko tunayotarajia Second half
 
Simba fans mnachekesha sana, yaan mtegemee mshinde Yanga yuko mbele tayari, na Arajiga mshika filimbi?

Kuna mchezaji hapo ingekua wa simba angeshapewa red card, ila kwa kuwa yuko team kipenzi, wala. Aibu utaona wewe.

😂😂😂😂
 
Hivi wakuu hii vumbi nyeusi hapo Uhuru inatokana na nin? Haina madhara ya muda mrefu
 
Back
Top Bottom