Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,340
- 36,020
Punguza Mdomo wiii...Simba leo mtapigwa pakti moja ya dume 😹
Yafaa nini namna hii🤣🤣🤣
Punguza Mdomo wiii...Simba leo mtapigwa pakti moja ya dume 😹
Moja inatosha nyingine za dharuraSimba leo mtapigwa pakti moja ya dume 😹
Kangwanda Leo atoke mapema maana anapoteza hovyo mipira mingiToa Albert ingiza Mzize.
Simba wanajiamini na wamecheza vizuri, kinachoendelea ni uzoefu wa Yanga kutufunga. Kufungwa ukishaacha ikawa tabia basi inageuka tabia sugu sana hata kama mna kikosi kizuri mnajikuta mnafungwa.Uwanja una pitch mbovu sana.
Simba wamekuja wanajiamini, Yanga wamekuja na uhalisia.
Mnatafuta kichaka cha kujifichia?Sasa nawaelewa simba Arajiga ni mpumbavu sana.....
Kwani kuna sehemu walistahili penalty na haikutolewa?Simba wasipotafuta bao la halali hapo, wasitegemee kuna penalty wala Foul ya maana,
Nawaona tu wanacho kitafuta hapo, matokeo yatabaki hivyo hadi FT.
km kubadilika hawawezi. Aaaah
😂😂😂 mbona bado hajawafurahisha, ukitaka kumjua Arajiga zaidi ktk dabi, 2nd half, mbona utampendaaa.Sasa nawaelewa simba Arajiga ni mpumbavu sana.....
Nilicho kizungumza na ulicho kijibu ni tofauti.Kwani kuna sehemu walistahili penalty na haikutolewa?
Kweli tupu. Utamu halisi huwa ni lile goli la kwanza tu. Haya mengine huwa ni kulinda CV isiharibike 😂Moja inatosha nyingine za dharura
Wanakaribisha sana mashambulizi bila sababu. Pia pale mbele tunakosa precision, Kangwanda. Kangwanda na Shalulile hawajawa tishio la kutosha kwa defence ya Simba.Tactical Discipline ya Yanga iko juu sana