Yan Leo Simba kupata goli mbili ndo useme Barcelona ya bongo.mmefungwa misimu mingapi?Hii ndio Barcelona ya bongo haijalishi itakuaje
Yan Leo Simba kupata goli mbili ndo useme Barcelona ya bongo.mmefungwa misimu mingapi?Hii ndio Barcelona ya bongo haijalishi itakuaje
Mmeshakulaaa 2 habariii hunaaaa??Hao wapigwe zote wajeuri
Huyo mod ni shabiki wa Utopolo...Mbona Mods wameandika Yanga ndo wanaongoza.?
Leo utalala bila nguo 😹😹😹Mmeshakulaaa 2 habariii hunaaaa??
Niseme nini, kul matapishi yakoBado hujasemaaaa, nataka useme sasaaaaaaa.
😂😂😂😂😂😂
Udugu tuliaaa, match ikiisha hivi, mtahama JF Nawaambiaaaa.Simba wa Yuda kaunguruma? 😹
Kweli El nino inakuja wana jangwani..!!
Kaedit kwa huzuni sana
Siwezi kula matapishiii, nilicho kiongea ni kile kile wala sio uongo ni kweli tupuuuu.Niseme nini, kul matapishi yako
Technically Leo kavurunda, sub za hivyo na aka opt kubaki nyumba hivyo kuruhusu sana mashambulizi na jamaa wamemiliki mpira kwa muda mrefu sana.Kuna harufu kwa mbaliiiii Kocha wa Yanga atafukuzwa virango baada ya huu mchezo
Nipo paleeee
😂😂😂😂😂 wewe TuliaaaaaaLeo utalala bila nguo 😹😹😹
Basi yanga anashinda coz matokeo yapo kwa raisi, faller sana wewe!!Siwezi kula matapishiii, nilicho kiongea ni kile kile wala sio uongo ni kweli tupuuuu.
😂😂😂😂