Nakuambiajeeee arajiga kaamshwa mapepo ya Ki Iraq hapo hadi Yanga arudishe na aongezeeee.ARAGIGE anatawatafutia
Nyingi sanaa shooouz, mnarudisha na mnashindaaa84'
Simba 2-1 Yanga
Kimeturamba
Straika la boli....😂😂Dumbiaaa
Mi toka OCT 29 niliacha kushabikia timu za mama, niko zangu Arsenal 😹😹😹Udugu tuliaaa, match ikiisha hivi, mtahama JF Nawaambiaaaa.
😂😂😂😂
Huyo Mzee alikuwa anacheza nafasi ipi?...au beki?.Pengo la Mzee mpili halizibiki kwa kweli🥹🥹tumebaki na Mzee maoma tu anataka kumtoa hersi
Tulia dawa ikuingie hujui mpiraNaombaaa uniacheeeee usinitafutie Ban, nakuomba sanaaaaa.
😂😂😂😂😂Mi toka OCT 29 niliacha kushabikia timu za mama, niko zangu Arsenal 😹😹😹
Hao Yanga nyie wapigeni mpaka wajinyee na mafuriko yanakuja hao vyura sijui wataishi wapi? 😹
SubutuuHi game 2-2