Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,340
- 36,020
Naomna matokeo Shem Bae...Coca we ni plastic fan, unawajua plastic fans?
Nilikuwa nimelala🤣🤣🤣
Naomna matokeo Shem Bae...Coca we ni plastic fan, unawajua plastic fans?
Inaum mnoJamani Doumbia wa nn teena?
Come back ya kibabe hii kutoka kwa Mnyama...💪💪💪Zile mbili za siku ile Yanga alichomoa kibahati tu, leo mmetangulia likarudi... mkaongezwa!
Yameisha na wewe khaaaa..!! 😹😹Kunaendaje huko wiii🤣🤣🤣
Nachekaaaaa
Afukuzwe tu mkuu 😂Yanga wasifukuze kocha!
Nimepata mshituko wa moyo baada ya kufungwa mabao mawili ya haraka haraka kutokana na sub alizofanya kocha wetu.
Kitambaa cheupeee mahi uduguu. 😂😂😂Bia wapi? Nije tusherehekee ushindi 😹😹
Tulia shuhudia sex na romantic football matokeo sio vitu vyetu kabisaYan Leo Simba kupata goli mbili ndo useme Barcelona ya bongo.mmefungwa misimu mingapi?
Hauna jicho la boli tuliaKwani uongoooo? Arajiga sio Yanga? Hajaacha kadi nyekundu kwa Kangwanda?? Nini tenaa?
Huoni hapo anavyotafuta Yanga warudisheeeee??
Rangi halisi imeonekanaAfukuzwe tu mkuu 😂
Shem nakupa hongera, hii imekuwa miaka mingi sana...amka sasa, najua leo utalala vizuri 🤣🤣Naomna matokeo Shem Bae...
Nilikuwa nimelala🤣🤣🤣
Sidhani 😅Nilisema hapa japo mie mwananchi ila safari hii Simba wanatupiga. Doumbia tu hajatupia.
Sikujua kumbe wewe ni utopolo fc, haya banaAfukuzwe tu mkuu 😂