Maneno ya Matumaini hayo Shem...Shem nakupa hongera, hii imekuwa miaka mingi sana...amka sasa, najua leo utalala vizuri 🤣🤣
Vipi mkuu, una lakusema? Tulia dawa iingie.Hauna timu ya kumfunga yanga
Acha tu sina hamuuuuu! Huu motro waleo sio poaaaaaWamekufumua mahono hahaha
Simba ikishinda mji unapoa, ikishindwa ndiyo heka heka...
Pole sana mkuu. Ni mpira tu 😂Rangi halisi imeonekana
Imepita miaka mingi, ngoja nisiongee matuthi maana ningetoa neno linaloendana na kipindi mlichopitia🤣🤣🤣Maneno ya Matumaini hayo Shem...
Nakuelewa🤣
Poleni sana...
😂😂😂😂😂😂Nakuja chap tucheze MNYAMA HANA MPINZANI 😹
Ukikumbuka wewe inatoshaTuachaneni na mambo ya mpira huu mwezi tukumbuke ndugu zetu wa October 29
Hongera my wii 🔥Haijaisha hadi iishe Wii🤣
This is Simba..