YoungPastor
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 1,031
- 1,940
Kosa la wazi kabisaYanga wasifukuze kocha!
Nimepata mshituko wa moyo baada ya kufungwa mabao mawili ya haraka haraka kutokana na sub alizofanya kocha wetu.
Kosa la wazi kabisaYanga wasifukuze kocha!
Nimepata mshituko wa moyo baada ya kufungwa mabao mawili ya haraka haraka kutokana na sub alizofanya kocha wetu.
Tactical Analysis coachHuyo Mzee alikuwa anacheza nafasi ipi?...au beki?.
Aibu utaona weweTutaona
96dakika ya ngapi
Nipo na mamakoMkuu unaangalia mpira au unapiga nyeto
Haijaisha hadi iishe Wii🤣Yameisha na wewe khaaaa..!! 😹😹
Nakuja chap tucheze MNYAMA HANA MPINZANI 😹Kitambaa cheupeee mahi uduguu. 😂😂😂
Imeisha hiyoo mkuuDah! Yanga wasinifanye nilale na unyonge💔