Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 179,428
- 197,153
Wamekukojolea...Acha tu sina hamuuuuu! Huu motro waleo sio poaaaaa
Wamekukojolea...Acha tu sina hamuuuuu! Huu motro waleo sio poaaaaa
Hatari! Basi yaisheArajiga sio yangaaaa? Hata km sina ****** wa mpiraa, achilia hilo jicho.
😂😂😂😂😂
Mmeanza kuleta mibangi yenu hukuhaya ni matunda ya amani watanzania wanafurahia michezo hongera mama yetu SSH
Kocha hatofukuzwa hahahaAah weee 🦁🐒🐒 ikishinda watu hatupumuiiiiiii!!
😂😂😂😂 nakuambia mtulie tu mtauliwa wallah. Na hawajazoea maumivu hivyo alooooLeo wenye midomo tutulie wanaume wa Yanga watatu Kweka jamani..!!
Bado hamjasema....Mtaanza kusema😅Imepita miaka mingi, ngoja nisiongee matuthi maana ningetoa neno linaloendana na kipindi mlichopitia🤣🤣🤣
Hapa ni kisonono watupu.View attachment 3688138
Ndg zake ccm hoi ********
Kwahiyo Simba imeshinda Arajiga ni Simba?Arajiga sio yangaaaa? Hata km sina ****** wa mpiraa, achilia hilo jicho.
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂Hatari! Basi yaishe
Kangwanda Red card ilikua halali sio halali? Jibu hapa afu tuendeleeee.Kwahiyo Simba imeshinda Arajiga ni Simba?
Unawezaje kukataa goli zuri kama la Mpanzu?
Watu wa Simba mna wazimu wa mpira ni kama mashabiki wa Liverpool UK.
Yanga haiwezi kusingizia chochote inafocuse mechi za mbeleni na kufanyia kazi makosa.
R.I.P mzee Mpili...😏😏😏😏😏🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒
Vipi 2_2No way!