FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

Leo hata vingreza mtaandika, mara masterclass..mara nini!

Mlitakiwa kushinda leo, otherwise ungekuwa sio darby tena
1791606774813.jpg


VIPI TURUDIE TENA KUWAPELEKA IGUNGA?
 
Tunaenda na Heineken, Windhoek, brutal au nini wii? 😹

Ushindi huu sio wa kuukalia kimya..!!
Hiyo Windhoek ni vipi My Wiiii....
Mwambie waiter alete six packs....Huu ni ushindi wa kishindo😀
 
Yanga kafungwa kwenye kila kitu Short on target,off target, position,mistake aliyo ifanya kumtoa Muda,Ngoma alifunikwa sio mkabaji.Tushapigwa tujipange kwa mechi ijayo, tuache lawama kwa mtu yoyote huu ndio mpira ukizembea unabondwa.
Pale hakuna kocha, Yanga watafanya makosa kuendelea na huyu mwalimu.
 
Back
Top Bottom