FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

You got it all warped. Poor technical and tactical approach is what gave Simba an edge. That apart, it remains an ordinary club.
Keep those tears coming! We need them to cool down your Yanga players after they spent the entire second half chasing shadows. Cry louder!
 
Shabiki wa yanga atakayeumia nitamshangaa, hawa jamaa walitakiwa kushinda leo, miaka haihesabiki watu wanachezea tu, hadi ladha ya mpira wa watani ikapotea.
mlitufunga kabla VAR haijaja...ila sasa hv kwenye ukweli na uwazi janjajanja zenu haziwezi kufua dafu
 
Mmejaza maveteran kwenye timu,alafu mnategemea ushindi kweli.
Poleni watani , ukweli timu yenu imekuwa kijiwe cha maveteran.
 
Leo hata vingreza mtaandika, mara masterclass..mara nini!

Mlitakiwa kushinda leo, otherwise ungekuwa sio darby tena
Mkuu, Derby ingeendelea tu hata kama tungefungwa Sababu Derby inatengenezwa na ugumu na pressure ya mchezo uwanjani. Yaani mngeshinda game inayofuata bado kungekuwa na Tension ya Derby.
 
Mwalimu hana shida, shida ni asilimia kubwa ya wachezaji waliosajiliwa msimu huu wameshindwa ku upgrade timu,

Mfano ameumia Abuya , Ngoma hawezi kum upgrade, akiumia Max ndiyo basi tena!
Kulikuwa na sababu gani kulinda muda wote, na kutegemea mipira mirefu ya counter attack? Leo hata pasi 3 zilikuwa hazifiki.
 
Back
Top Bottom