FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

Pale hakuna kocha, Yanga watafanya makosa kuendelea na huyu mwalimu.
Leo sub zilitakiwa za kupunguza presha, dogo Casemiro nae alitakiwa aingie. Pale kati angekuwa Muda,Max,Ngoma na Casemiro, mbele angebaki Shalule na Mzize basi.
 
Shabiki wa yanga atakayeumia nitamshangaa, hawa jamaa walitakiwa kushinda leo, miaka haihesabiki watu wanachezea tu, hadi ladha ya mpira wa watani ikapotea.
Kalaleee, sukari inapanda hiyo, hospital kesho hakuna huduma ya dialysis, shauri yako.
Wee haya tu, 😂😂😂😂😂
 
Leo sub zilitakiwa za kupunguza presha, dogo Casemiro nae alitakiwa aingie. Pale kati angekuwa Muda,Max,Ngoma na Casemiro, mbele angebaki Shalule na Mzize basi.
Hata Shalulile kucheza dakika zote sijaelewa, kuna namna kocha alizidiwa akili pakubwa.
 
𝐘𝐎𝐔 𝐁𝐄𝐓𝐓𝐄𝐑 𝐖𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐘𝐎𝐔𝐑 𝐁𝐀𝐂𝐊.
FB_IMG_1791656849347.jpg
 
Kulikuwa na sababu gani kulinda muda wote, na kutegemea mipira mirefu ya counter attack? Leo hata pasi 3 zilikuwa hazifiki.
Kila siku sio Jumapili leo Msimbazi walikuwa bora, so approach ya kuzuia ilikuwa sawa kabisa, ila kocha karata hakuchanga vizuri upande wa defense,inaonekana upande wa kuzuia kidogo hayupo vizuri. Ila yote kwa yote ndio mpira tumepigwa tuwe wapole.
 
Kati timu ilikufa
 
Back
Top Bottom