min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Kufa tu mawaaa😁Ndiyo,nilivyoona 2 yanga nikajilalia zangu.
Kufa tu mawaaa😁Ndiyo,nilivyoona 2 yanga nikajilalia zangu.
Mpewe timu mabumunda nyie mnadhani ukocha kazi ndogo...Leo sub zilitakiwa za kupunguza presha, dogo Casemiro nae alitakiwa aingie. Pale kati angekuwa Muda,Max,Ngoma na Casemiro, mbele angebaki Shalule na Mzize basi.
Leoooooooooooooooo! 😂😂😂😂Kuke jihan huku simba..
Hiyo lini hiyooooooo😅🔥
Moja ya sajili bora chilambo, kwanza sio kumstaafisha kapombe, duchu na wenzie kazi hawana wajiandae kwenda jktHuyu Nathaniel Chilambo kaja kumstaafisha kapombe mazima aisee..aongezewe mkataba na mshahara
😂😂😂 wee mpareee leo utasema yoteeeeeeeee.Ushindi anao Samuya, nashangaa mmeshindaje, wewe ni plastic fan acha mambo yako
Analia ?? Shenzi kabisa ...kwanza ashukuru Miungu yake , Simba INGEKUA na namba tisa kama mayele nakuapia leo ilikua tunawafira live bila chengaInjinia analia sana hapa uwanjani
ngoja tumuombee soks za mpanzu afanye lesoInjinia analia sana hapa uwanjani
Tupo hapa kutoa maoni ,kwenye mpira kutoa maoni na mtizamo wako hukatazwi na ndio maana kuna hili jukwaa. Kocha ni binadamu ndio maana kakosea na kukosea kwa kocha haina maana ni mbaya na ndio maana kuna mafootball analyst.Mpewe timu mabumunda nyie mnadhani ukocha kazi ndogo...
Naomba kumsindikiza kutoka Dar to songea, songea to Lichinga, tukishafika Lichinga nitahakikisha ameshakwea bus la kuelekea Maputo, najua akifika kule ni kupanda Boti, chaapu yuko Petrolia.Ndege au ashukie Ruvuma atokee Msumbiji kuna shortcut kwa miguu hamna kocha pale.
Mkuu hapa sijui narudi vipi kigamboni dah noma sana 🥲😭😭 mke wangu kalia sana dada yangu anacheka tu hapa kwa dharauuuuungoja tumuombee soks za mpanzu afanye leso
Yanga haina viungo wenye quality ya kupishana na Simba kwa sasa!Kulikuwa na sababu gani kulinda muda wote, na kutegemea mipira mirefu ya counter attack? Leo hata pasi 3 zilikuwa hazifiki.
Fanya iyo mambo ashapaki nawasubiriNaomba kumsindikiza kutoka Dar to songea, songea to Lichinga, tukishafika Lichinga nitahakikisha ameshakwea bus la kuelekea Maputo, najua akifika kule ni kupanda Boti, chaapu yuko Petrolia.
😂😂😂😂😂
Arajiga mie nitazungumzia kila leo, kwanza leo kawapendelea yanga, kangwanda ilibidi apewe Red card, na hajampaWananchi
Tutulie, haya ni matokeo kama matokeo mengine
Furaha wanayoipata leo, sisi tumeipata mara tano mfulululizo.
Haya ndo maisha ya dabi.
Unanyoosha halafu unanyooshwa.
Cha kushangaza leo arajiga hazungumzwi.
Tufocus mbele,
Yanga ni yetu, na sisi ni yanga.
Yanga bingwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Krismass mbali sana, kesho asubuhi anapaswa awahi kuondoka na ndege ya kwanza.
Wewe kweli umeangalia mpira, sawa kabisaArajiga mie nitazungumzia kila leo, kwanza leo kawapendelea yanga, kangwanda ilibidi apewe Red card, na hajampa
Dkk za mwshoni akawa anataka kuwatafutia yanga wasawazishee, wapiiiiii wewee.
😂😂😂😂
naomba niungane na dada ako kucheka kwa dharau😅😅😅,,, vuta mda mpka 6 usiku watakua wamepoaMkuu hapa sijui narudi vipi kigamboni dah noma sana 🥲😭😭 mke wangu kalia sana dada yangu anacheka tu hapa kwa dharauuuuu
Si ndiooo, mashabiki wa yanga walikua wananitukana kwa text, sahivi wako kimyaa, nawapa, moja moja za entrance, show nzim keshooo.Daah,nashangaa naingia now naona simba 2😁
Ndio maana huku kumepooza kupo kimya sana.