FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

Ndugu zangu utopolo kipindi cha kwanza baada ya lile bao mliongea mkajimaliza kabisa mkasahau kutunza maneno ya akiba, na kingine baada ya bao mapungufu ya kocha hamkuyaona? Timu yenu mwaka huu ni mbovu ukilinganisha na miaka mingine kocha mnamwonea Bure mvumilieni!! Huu ni mwanzo ya Yale tuliyoyapitia sisi, na bado ongezeni mlio pointi 3 mmedondosha sisi hao kileleni siyo shida zetu.
Si ndiooo!! 😂😂😂😂
 
Wewe kweli umeangalia mpira, sawa kabisa
Sio tu kuangalia, Mpira mie naujua, na nikiongea ukweli, mashabiki wa uto wanakuja na blah blah zao,

Leo Arajiga Kaona mabao ya kideoni hakua na uwezo wa kukataa, ingekua ya papatu papatu ungeona upuuzi wake.

Leo wachezaji waliamua kucheza boli bila kuangalia Jiga boy anafanya nini.

Mambo ni yenteeeee, 🔥🔥🔥🔥
 
Mpaka malaya humu nao wameingia jukwaa hili hawakuwahi kuja hapa leo mpaka mashabiki fake wataonekana leo
 
Yanga timu ni nzuri; inaanza vizuri halafu sub zinaiharibu! Timu ilianza vizuri sana; kocha alivyofanya sub tu, basi mambo yote yakaharibika! Sasa Simba wako kileleni; itachukua muda sana kuwafikia kwani huenda tusiwafiike tena.
 
Back
Top Bottom