FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

1791664804825.jpg
1791661694857.jpg
 
Na hapo wamesehewa kadi nyekunduuuuuuuu.
Kumamaeeeeeeeee zenu nyieeeeee
nahisi ww sio mwanamke na hii acc yako ni yakulaghai watu huwezi shangilia huku na huku yani uwe yanga ghaflq unachange unakuwa simba aibu gani hii??
 
nahisi ww sio mwanamke na hii acc yako ni yakulaghai watu huwezi shangilia huku na huku yani uwe yanga ghaflq unachange unakuwa simba aibu gani hii??
Sasa Mkuu unapangia hadi watu namna ya kushangilia?😂😂 wewe si ubaki na timu yako
 
Yanga kafungwa kwenye kila kitu Short on target,off target, position,mistake aliyo ifanya kumtoa Muda,Ngoma alifunikwa sio mkabaji.Tushapigwa tujipange kwa mechi ijayo, tuache lawama kwa mtu yoyote huu ndio mpira ukizembea unabondwa.
Umeongea kisoka sana.
Salute bro
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Ujue hii match nilikuwa siangalii LIVE,nilikuwa kwenye usafiri , kile kipindi narudi hapa nakuta Yanga 2, halafu naona Melo ame quote comment yangu anasema atazingatia maelekezo, maana niliahidi Simba akifungwa nipigwe ban 6 months... ikabidi niseme ilikuwa ni utani..🤣🤣🤣
Mkuu ulikuwa unakula ban,
Pole sana na pia hongera😂
 
Back
Top Bottom