ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 21,002
- 77,708
Inauma aisee.!Kulia kupokezana😂😂
Inauma aisee.!Kulia kupokezana😂😂
Halafu tunaambiwa huko Azam alikuwa anakalia benchi!!Huyu Nathaniel Chilambo kaja kumstaafisha kapombe mazima aisee..aongezewe mkataba na mshahara
HahahaNiliona alitupia inst na fb.
Sasa wamerudia ukimya wao😂
PoleInauma aisee.!
Inawezekana tu.Hivi wakuu nyie mnawezaje kukomenti huku mnaangalia mpira!?
Unasemaaa?Kumamakeee ba tamu hayupo, wee mchepukooo chukua Bolt njoo maghetoni, nauli juu yanguuuuuu.
😂😂😂😂😂
Muda wa sasa sio wa kucheza dk 90. Ni kama chama kwa Simba!Yanga kafungwa kwenye kila kitu Short on target,off target, position,mistake aliyo ifanya kumtoa Muda,Ngoma alifunikwa sio mkabaji.Tushapigwa tujipange kwa mechi ijayo, tuache lawama kwa mtu yoyote huu ndio mpira ukizembea unabondwa.
Huyi refa amewafanyia ujinga mwingi sana Simba katika mechi nyingi tu. Leo akaendeleza upuuzi wake kuna muda Diarra anapoteza muda live kabisa Simba wanalalamika wazi kabisa hakutoa kadi ila akipopoteza muda Kassali fasta sana kachomoka kadi kampa. Mwishoni kabisa ni wazi alikuwa anaitafutia Yanga goli.Arajiga mie nitazungumzia kila leo, kwanza leo kawapendelea yanga, kangwanda ilibidi apewe Red card, na hajampa
Dkk za mwshoni akawa anataka kuwatafutia yanga wasawazishee, wapiiiiii wewee.
😂😂😂😂
Hii ni sawa na Mgumba aliyepata mimba uzeeni yaani sasa anatema mate mji mzimakipofu kaona mwez leo co fujo
Kama vipi Mpasuenahisi ww sio mwanamke na hii acc yako ni yakulaghai watu huwezi shangilia huku na huku yani uwe yanga ghaflq unachange unakuwa simba aibu gani hii??
Hhhhhhh kumbe nawe umo eee lunch nipo kwako leo
Sasa kama Bayern anamfunga bayern si ajabu hiyo. Acha kuweweseka mkuu.Hujui mpira Bayern anamfunga bayern hata mara 20 na bado ni derby
Anakusudia bayern Munich na bayern leverkusenSasa kama Bayern anamfunga bayern si ajabu hiyo. Acha kuweweseka mkuu.
Hakuna timu inaitwa bayern leverkusen mkuu!Anakusudia bayern Munich na bayern leverkusen
Jamani watu mliofika huko shamba la bibi ngapi huko?
Bayern anamfunga Bayern? Sasa ndio nini boss?Hujui mpira Bayern anamfunga bayern hata mara 20 na bado ni derby
Hakuna timu inaitwa Bayern leverkusen duniani.Anakusudia bayern Munich na bayern leverkusen