Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Niamini mm mkuu, ngoja mechi ianze utajionea 🔥Madhara ya nyeto hayo bwashee 😅
Niamini mm mkuu, ngoja mechi ianze utajionea 🔥Madhara ya nyeto hayo bwashee 😅
Hahahah au tangu october 29 upo hopelles?Mkuu kuhusu NBC niko likizo kidogo ila nitarejea
Manqoba anaondoka kabla ya El nino!!Afukuzwe tu mkuu 😂
Mfyuuuuuu😏😏😏 🦁🐒🐒🐒🐒🐒🐒Inafurahisha
🐸Manqoba anaondoka kabla ya El nino!!
Mfyuuuuuu😏😏😏 🦁🐒🐒🐒🐒🐒🐒
Daah! Kweli zimekuja Mtani.
KiunyongeHongereni watani. Ila mmejua kutulaza na viatu bana.
Mtani hatimaye. Miaka mitatu si mchezo ujue.
Hahaha
Kina godi yanga wanasubili taarifa
Mkuu Sasa hapa unatabiri au hiki ndo kitu gani?Mara paaaap
Acha kabisa Mtani. Kufungwa kubaya bana.Kiunyonge
Inabidi mzoeeAcha kabisa Mtani. Kufungwa kubaya bana.
We tumekufunga miaka mitatu mfululizo lini ulizowea Mtani?Inabidi mzoee
Kila chenye mwanzo lazima liwe na mwishoMtani hatimaye. Miaka mitatu si mchezo ujue.
Hakika. Hili lilikuwa ni swala la muda tu Mtani.Kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho
Mnafanyaje!?Inawezekana tu.
Unaangalia mpira na kuandika.Mnafanyaje!?
Kamuulize Denzel trainerKuna haja ya wachezaji wa simba kupimwa mkojo. Hiyo stamina ya, mfano, kibichwaswala kuwakalisha wachezaji wanne hadi na kipa bora Africa, Duguji Dyara, ameipata wapi?