FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

Bacca, Bacca, Bacca, nakuita mara 3.
Wee ulipita jeshini kweli? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
1791717131538.jpg
 
Yanga mdebwedo.

Amenyanyaswa sana.

Wafanye maamuzibya haraka ya kumfukuza kocha.
Kocha watamuonea bure tu mkuu. Ule mpira aliocheza Simba jana(wa kukaba na kushambulia kwa nguvu na Kasi kubwa mwanzo mwisho ndio ubovu wa Yanga ulipo). Yanga akichezewa hivi huwa hatoboi.

Nakwambia hata kwenye benchi wangekuwepo Nabi na Gamondi kwa pamoja,tabu ingekuwa pale pale. Hii siri niliipata kwa Robertinho alivyowakanda Yanga 2-0.

Mechi zote nilizozitazama mimi ambazo Simba amenyanyaswa na Yanga ni zile ambazo Simba anakamia kipindi kimoja tu,kingine anakuwa mdebwedo!. Lakini Simba akikaza kukaba na kushambulia kwa nguvu na kasi (kitimu) mwanzo mwisho,Yanga lazima abondwe!
 
πŸ™„πŸ™„ Aisee, leo wewe wa kusema hayo kweli.
"Kosa pesa tujue tabia ya mkeo"
😹😹😹 Mo sasa ulitaka nilie?
Mi silii kwenye mipira..!!
Pesa zinilize na vyura nao wanilize seriously? 😹
 
Nashangaa Nyegee zimenijia ghaflaa, sielewii zimetoka wapiii?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sijui niende Bar nikaokote jamaa m1 nipoe usiku wa leo.
Alooooooh
Vipi ulifanikiwa? 😹
Yani toka jana muda ule ndo naingia hewani, niliweka kindege simu yangu nisione simu za watu wa simba..!!

Wameona aahh kazima, wamenifata home nimechekaaa 😹😹
Wamekuja na vinywaji ili wanikere nimelewa pombe za mashabiki wa simba..!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wee ba tamu simuogopiii?
Nililala jana, nikaamka mchana, nikapika nikala, nimelala tena, ndio naamka sahiviii.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wee ba tamu simuogopiii?
Nililala jana, nikaamka mchana, nikapika nikala, nimelala tena, ndio naamka sahiviii.
Unalalaje na ushindi udugu?
Em njoo down town huku tucheze live band bana..!! 😹
 
Wee uko hapo? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimejaa, Hawa vibaka wa Simba wamenifanyia vurugu home wakanibeba kilazima tutoke tukamalizie vibe huku..!! 😹😹

Nimelewa leo jamani..!!
 
Back
Top Bottom