FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

nahisi ww sio mwanamke na hii acc yako ni yakulaghai watu huwezi shangilia huku na huku yani uwe yanga ghaflq unachange unakuwa simba aibu gani hii??
Watakucheka wenzio hapa! Uwe unauliza kwanza.
Aliyekuambia mie ni shabiki wa Yanga nani?? Kuanzia lini?? Niwalaghai watu kwa kipiii?
Unateseka ukiwa wapiiii???
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa Mkuu unapangia hadi watu namna ya kushangilia?πŸ˜‚πŸ˜‚ wewe si ubaki na timu yako
Amevurugwaaaa na pira biriani, pira sambusa, pira kachoriii,
Tunabonda huku tunanyongaaaaa!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyi refa amewafanyia ujinga mwingi sana Simba katika mechi nyingi tu. Leo akaendeleza upuuzi wake kuna muda Diarra anapoteza muda live kabisa Simba wanalalamika wazi kabisa hakutoa kadi ila akipopoteza muda Kassali fasta sana kachomoka kadi kampa. Mwishoni kabisa ni wazi alikuwa anaitafutia Yanga goli.
Mataqo yake Arajiga, jana kapewa mabao ya kideoni, hata kukataaa anashindwaaa, anabaki kuwa na hasira na chukiii.

Sisi waleeeeeeee, sisi haoooooooo.
 
Kuna haja ya wachezaji wa simba kupimwa mkojo. Hiyo stamina ya, mfano, kibichwaswala kuwakalisha wachezaji wanne hadi na kipa bora Africa, Duguji Dyara, ameipata wapi?
Mie napentaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yaani lile pira mmetuchezea jana hata cha kujitetea hatuna.

πŸ˜€πŸ˜€ kuna kale kafupi nyundo kale yaani kila akishika mpira nilikuwa napata wakati mgumu hatari.
Keletso, uliona move aliyempa mpanzu likazaa bao? Bao la Mpanzu unalionajeeee??

Ila tunajuaga kuwapa mabao ya Kideoniii tu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ninachokupendea wewe ni mkweli, ni mtu wa football. Simba walikuwa aggressive sana jana, na kama wangekuwa na uchu wa kutafuta magoli baada ya zile mbili basi wangepata hata moja.

Yanga mlikamatwa maeneo mengi sana
Ahsante Mkuu. Na hilo halipingiki kwamba Yanga tulikamatwa.

Ila afadhali imekuwa ilivyokuwa walau viongozi nao waone nini cha kufanya hasa kwenye mechi za Champions League.
 
Mabao yote ya jana ni ya kideoni tu, Jiga boi hata haelewi inakuajeeee?
Hahahaa. Niliona sehemu unambwagia Jiga milawama ka yoote. πŸ˜…πŸ˜…
Bacca alikalishwa chini matako yakalia mbwataaaaaaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mtani ujue kuna muda aibu ndogo ndogo kama zile hazizuiliki. πŸ€ͺ
 
Unaangalia mpira na kuandika.
Ukiwa na presha kubwa na huo mpira hutaweza.
Binafsi nilipata tabu mwanzoni lakini baadaye nikazoea.
Mi huwa nakuwa na presha,mfano hasa timu yangu ikiwa inshambuliwa.
Halafu huku pembeni ukute Kuna wasema hovyo dah!
Hivyo nashindwa
 
Hahahaa. Niliona sehemu unambwagia Jiga milawama ka yoote. πŸ˜…πŸ˜…

Mtani ujue kuna muda aibu ndogo ndogo kama zile hazizuiliki. πŸ€ͺ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Jiga mpuuzi yule mtani, mabao ya jana hayakua mushkeli, yangekua ya papatu, ungeona ujinga wake na huwa hajifichi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom