FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

Owky watu wa mpira tuchague Moja tu hapa,tukalewe au tukalale, mpira umeisha,mpira umeshinda💪💪💪
 
Ukifungua mlango wa mbele hakikisha wa nyuma umefunga. Hainaga jicho haionagi mbele....utaikuta igunga hukooo.....

VP TURUDIE TENA???

VIPI TURUDIE TENA
 
Kwahiyo Simba imeshinda Arajiga ni Simba?

Unawezaje kukataa goli zuri kama la Mpanzu?

Watu wa Simba mna wazimu wa mpira ni kama mashabiki wa Liverpool UK.

Yanga haiwezi kusingizia chochote inafocuse mechi za mbeleni na kufanyia kazi makosa.

Hahahaha mtasema yote leo
 
Mkuu hongera.
Uliona mbali
Ujue hii match nilikuwa siangalii LIVE,nilikuwa kwenye usafiri , kile kipindi narudi hapa nakuta Yanga 2, halafu naona Melo ame quote comment yangu anasema atazingatia maelekezo, maana niliahidi Simba akifungwa nipigwe ban 6 months... ikabidi niseme ilikuwa ni utani..🤣🤣🤣
 
Yanga wasifukuze kocha!

Nimepata mshituko wa moyo baada ya kufungwa mabao mawili ya haraka haraka kutokana na sub alizofanya kocha wetu.
Sikuwahi kuona Yanga mbovu kama hii ya leo, tatizo wala sio quality ya wachezaji ila mbinu za mwalimu.
 
Steve Barker gave you a tactical masterclass today. Absolute nonsense performance from Yanga. Next time, show some respect to the Lions! 🧠⚽
Leo hata vingreza mtaandika, mara masterclass..mara nini!

Mlitakiwa kushinda leo, otherwise ungekuwa sio darby tena
 
Benchi la Simba lina mafundi ukichungulia upande wa pili unakutana na kina chuga 😔

Kwa Simba walivyoitawala game unapiga goti na kushukuru kwa kufungwa 2
Shida ya Yanga sio wachzaji ila mbinu za mwalimu
 
Back
Top Bottom