FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

Dey failed to watch dea backs
FB_IMG_1791515709663.jpg
 
Wewe em kalale huko, Arajiga kapewa mabao ya kideoni hata haelewi akaatae au afanyejee.
😂😂😂😂😂
Simbaaa hiyooooooooo
Ushindi anao Samuya, nashangaa mmeshindaje, wewe ni plastic fan acha mambo yako
 
Wananchi

Tutulie, haya ni matokeo kama matokeo mengine

Furaha wanayoipata leo, sisi tumeipata mara tano mfulululizo.

Haya ndo maisha ya dabi.

Unanyoosha halafu unanyooshwa.

Cha kushangaza leo arajiga hazungumzwi.

Tufocus mbele,
Yanga ni yetu, na sisi ni yanga.

Yanga bingwa
 
😅😅😅 nipo kaunta ya nyumbani kwangu , kuna vimbulu vinanipa pombe tu🤣🤣😁

Marafiki wangu wa yanga wamekimbia.😅
Naam, hata mimi nakunywa za jamaa zangu tu, wana vibe sana chama lao leo limeshinda baada ya miaka mingi sana
 
Shabiki wa yanga atakayeumia nitamshangaa, hawa jamaa walitakiwa kushinda leo, miaka haihesabiki watu wanachezea tu, hadi ladha ya mpira wa watani ikapotea.
 
Back
Top Bottom