FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

Yanga timu ni nzuri; inaanza vizuri halafu sub zinaiharibu! Timu ilianza vizuri sana; kocha alivyofanya sub tu, basi mambo yote yakaharibika! Sasa Simba wako kileleni; itachukua muda sana kuwafikia kwani huenda tusiwafiike tena.
Wanaweza wasipoteze tena mpaka mwisho

Kwa kweli kocha wetu sub zake kipengele
Duke aliumia salama yetu ilibaki max na muda sasa akamtoa muda tena so kiungo cha max na ngoma ambaye hawezi mikikimikiki ikawa shida tupu
 
Yanga timu ni nzuri; inaanza vizuri halafu sub zinaiharibu! Timu ilianza vizuri sana; kocha alivyofanya sub tu, basi mambo yote yakaharibika! Sasa Simba wako kileleni; itachukua muda sana kuwafikia kwani huenda tusiwafiike tena.
Hatupotezi Match yoyote tena, mzunguko wa 2, tunawakamua tena, 😂😂😂😂 gudubaiii.
 
Yanga timu ni nzuri; inaanza vizuri halafu sub zinaiharibu! Timu ilianza vizuri sana; kocha alivyofanya sub tu, basi mambo yote yakaharibika! Sasa Simba wako kileleni; itachukua muda sana kuwafikia kwani huenda tusiwafiike tena.
Huo ndo uhondo wa mpira. Ndio maana Kuna kurudiana
 
1791662091435.png
 
Leo hata vingreza mtaandika, mara masterclass..mara nini!

Mlitakiwa kushinda leo, otherwise ungekuwa sio darby tena
Hujui mpira Bayern anamfunga bayern hata mara 20 na bado ni derby
 
Back
Top Bottom