FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

Kwa simba ilivyo mbovu bado kuna mjinga kesho atabaa sare ya simba aaibike mjini

USSR
 
Tutoleeni huu upuuzi wa simba na yanga. Wakongo walikuwa hivi hivi ila wao kwenye miziki nchi imeharibiwa wao Ndombolo ndombolo,Rawreth Kabila kaja kuwashtuwa ilikuwa too late na wakapita naye .. Wa Cameron hivo walipumbazwa na mpira. Hongera kwa wakenya huu upuuzi haupo.
 
Mods Simba ikifungwa nipigwe ban miezi sita...
Payge
Mna account mbili mbili, watafute machizi mpira halafu weka ahadi huko mtaani kwenu sio humu,halafu uone kama kuna siku utaweka ahadi tena.JF ukiwa na email unatengeneza account mpya.Kuna yule muuza Makava ya simu shabiki wa Msimbazi aliwekaga ahadi ya Yanga kupigwa ,kumbe kuna watu wachizi wa mpira wakawa wanajichagulia tu makava baada ya kupigwa na uzuri aliongea kwenye online media.
 
Ushindi lazima kwa Simba 🦁 🦁 Leo

Aisome 😁
ephen_
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…