Utaitoa wapi hiyo hela na wakati unalipwa na Mhindi mshahara wa laki tu 1 na nusu kwa mwezi! Au umeanza tabia ya kudanga?KMC wekeni mpira chini. Ninawaahidi 20m mkitoa droo, 10m baada ya mechi, 10m mwisho wa mwezi
Nitatoa huko huko kwa muhindi, uzuri tunashea interestUtaitoa wapi hiyo hela na wakati unalipwa na Mhindi mshahara wa laki tu 1 na nusu kwa mwezi! Au umeanza tabia ya kudanga?
Usijisahaulishe, hawa walikula kono la nyani kama wenzao makoloKila la kheri KMC.
Nipigieni hao ARAJIGA KIDS 2 tu zinawatosha.
Hiki kikosi ni ORiginal mazeeKikosi kinachoanza dhidi ya KMC FC
View attachment 2907008
Mpo na kibonde leo mshindwe wenyeweAll the Best Yanga
Haahhahahhahah bado HAMJASEMA [emoji16]Mpo na kibonde leo mshindwe wenyewe