FT: KMC 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | Jamhuri Morogoro | 17.02.2024

FT: KMC 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | Jamhuri Morogoro | 17.02.2024

Hapana ni mali ya cdm
Cdm ndiyo nini?

Anayemiliki huu uwanja ni mzembe na maskini sana, na anapaswa anyang'anywe umiliki wa huu uwanja tupo 2024 kiwanja hakina screen za kufatilia mubashara, hakuna VAR, hakuna viti why mmiliki maskini amiliki asichokiweza?

Likiwanja kama la kufikia nguruwe tu 😂
 
Cdm ndiyo nini?

Anayemiliki huu uwanja ni mzembe na maskini sana, na anapaswa anyang'anywe umiliki wa huu uwanja tupo 2024 kiwanja hakina screen za kufatilia mubashara, hakuna VAR, hakuna viti why mmiliki maskini amiliki asichokiweza?

Likiwanja kama la kufikia nguruwe tu [emoji23]
Ongezea na pichi yenye mabonde mabonde
 
Daah!wengine weekend tunelewwa mapema, hatuelewi chochote.
dadeki
 
NBCPremierLeague
️ KMC SC Vs Yanga SC
17.02.2024
Jamhuri Morogoro
10:00 jioni

Kikosi kinachoanza dhidi ya KMC FC

View attachment 2907015
Mpira umeanza

dakika ya 1
Mudathir anaipatia Yanga SC goli la kwanza

Dakika ya 10
Mzize anakosa nafasi ya wazi

Dakika 15
Yanga SC wanaendelea kuongoza kwa goli Moja pacome amekosa nafasi ya wazi

Dakika ya 18
Kibabage anachezewa madhambi
Kikosi kimekamilika...
Piga 5 haoo
 
Dah Mzize Mungu akupe nini. Yaani nafasi ya wazi kabisa anakosa baada ya kazi nzuri ya Pacome
 
😂😂😂kuna fala anasema uto wanaongoza
 
Huyu kibabage sijawahi kumuelewa kabisa anapoteza pasi muhimu na kupiga pasi mkaa sana
 
Back
Top Bottom