FT: KMC 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | Jamhuri Morogoro | 17.02.2024

FT: KMC 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | Jamhuri Morogoro | 17.02.2024

Huyu golikipa wa KMC ana footwork nzuri sana, anaweza kuisaidia sana Simba. Nashauri uongozi wa Mangungu umsajili ili aende akawasaidie kina Ayub na manula
 
Wakipekee mshikaji wangu unanitukana?
anyway sijui kutukana mtandaoni
Sijakutukana ila soma vizuri post yako umesema
"Kuna Fala anasema uto anaongoza" ndo nikajibu huyo mtu n wewe... I'm sorry kama hukunielewa
 
Huyu max mikia watakuwa wamemfanyia jambo, maana toka awaweke zile kamba 2 amedrop sana
 
Tatizo la mmaliziaji Yanga bado ni tatizo, Mzize ni mpumbavu mpaka sasa kakosa magoli mawili ya wazi kabisa
 
Tatizo la mmaliziaji Yanga bado ni tatizo, Mzize ni mpumbavu mpaka sasa kakosa magoli mawili ya wazi kabisa
Mkuu sio Yanga tu, sasa hivi hilo ni tatizo la dunia nzima, km uliona mechi ya jana kati ya Bel vs Al ahyl utakuwa ulijionea
 
Back
Top Bottom