FT: KMC 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | Jamhuri Morogoro | 17.02.2024

FT: KMC 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | Jamhuri Morogoro | 17.02.2024

Huyu jamaa naona ana homa za vipindi ila ningemshauri Kocha Gamondi awe anaweka kama super sub maana akiaanza anacheza Makida

Sio homa za vipindi,mzize hajawahi kua mchezaji kazi pekee anayoiweza ni bodaboda
 
Aliyemleta mzize jangwani toka Iringa haendi mbinguni..chezaji zito kama bao la bikra.
 
Diara ametumia uzoefu kufanya fine save angekuwa dogo msheri angefungwa .

Gamondi ameona udhaifu wa mwamnyeto.

Bado yanga haina striker .
Mzize angempisha Yule mtoto wa Zenji .
Aziz ki angetoka ampishe sure boy.
 
Hii mipochi tunayo kosa ,sasa hivi tungekuwa na goli tatu,Mzize sijui aliamkia wapi.
 
Sijakutukana ila soma vizuri post yako umesema
"Kuna Fala anasema uto anaongoza" ndo nikajibu huyo mtu n wewe... I'm sorry kama hukunielewa
Pamoja sana mwamba!!
ngapi ngapi?
japo Uto siipendi
 
Back
Top Bottom