Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Mpo na kibonde leo mshindwe wenyeweGoli dak ya kwanza tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpo na kibonde leo mshindwe wenyeweGoli dak ya kwanza tu
Kmc ni kibonde?Mpo na kibonde leo mshindwe wenyewe
Mpo na kibonde leo mshindwe wenyeweAsanteni Yanga, mmenipoza machungu ya msiba wa kipenzi cha mioyo yetu Lowassa.
Kazi nzuri ya Aziz Ki 👏🏽
Kibonde mlitoka drooMpo na kibonde leo mshindwe wenyewe
Ni kibonde wa Uto huyoKmc ni kibonde?
Kibonde si alisharehemeka
KMC na Simba wote ni vibonde wa Yanga maana wote wamepigwa 5GMpo na kibonde leo mshindwe wenyewe
Zingatia mechi ya leo mkuu ni Yanga na kibonde waoKibonde mlitoka droo
Zingatia mechi ya leo mkuu ni Uto vs Kmc kibonde waoKMC na Simba wote ni vibonde wa Yanga maana wote wamepigwa 5G
Wivu tu unawasumbuaNi kibonde wa Uto huyo
Unateseka ukiwa wapi?Mataulo fc, majini fc, kabwili fc, kila lisilo zuri liwakute leo.😡😡
Kama watapinga na hili waje na takwimuKMC na Simba wote ni vibonde wa Yanga maana wote wamepigwa 5G
Nani ana wivu nimuombeeWivu tu unawasumbua
Zingatia mechi ya leo mkuu ni Uto vs Kmc kibonde waoKibonde mlitoka droo