FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

Na kipindi cha kwanza walikuwa wanatekeleza nini
Kipindi cha kwanza walikuwa wanacheza mpira ila baada ya kwenda vyumbani wamepewa maelekezo ya kutowafungia watu mwaka vibaya. Kipindi cha wamerudi kwa kufanya utoto tu.
 
83'
KMC wanafanya mabadiliko

Tepsie evans anaingia ,MAO anatoka na nafasi yake inachukuliwa na deo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…